Alhamisi 22 Mei 2025 - 10:51
Acha matamanio ambayo yanakusababishia udhalili

Ni ubaya na uchafu ulioje kwa Muumini kufuata matamanio ambayo yanamsababishia udhalili.

Shirika la Habari la Hawza - Imamu Swadiq (a.s) amesema:

«مَا أَقْبَحَ بِالْمُؤْمِنِ أَنْ تَكُونَ لَهُ رَغْبَةٌ تُذِلُّهُ.»

"Ni ubaya na uchafu ulioje kwa Muumini kufuata matamanio ambayo yanamsababishia udhalili."

Al-kafi, Jz 2, uk 320

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha